Tuesday, May 13, 2008

MAISHA MERELANI

Sasa hivi wamasai ndio wameshika chati ya kununua mawe kwa wanaapolo, wao kwa huko wanaitwa Mafogo. Usione mashuka hayo kuna wengine wamepaki maVX!
Sasa cheki fundi wa viatu vya masela sijui hivi vinatakiwa vitengenezwe ili viweje maana viko hoi!

No comments: