Tuesday, May 13, 2008

KIDEVU CHA KABILA

Mimi napata wasiwasi nakidevu cha Kabila kama ni mvi kweli ama kaweka breach ili aonekane mzee! Mbona kichwani hana?

3 comments:

Anonymous said...

si ni mcongo man poa tu kuweka hizo breach la muhimu ajajichubua maana mapedejee wa huko ni soo sura kama wakina mwajuma wa knd

Anonymous said...

kuna mcongo hapa kazini kaniambia ame bleach

Anonymous said...

Hizo ni mvi original kwani kidevu kinatanguliaga kuota mvi