Monday, May 12, 2008

REGs WEDDING

Tasimoni (Mzee Simon Miruko) akiwa na kijana wake kabal ya kufunga pingu na Winnie.
Mama mkwe wake Mirkuko akiwapongeza na kuwatakia maisha mapya.
Toli, Edwin Mjwahuzi akimpongeza shemejiye katika tafrija.
Jamaa wakicheza mgongomgongo, ilikuwa hapashikiki!
Kali kuliko zote bwana harusi alimg'ata sikio Mrs wa mtu, sijui alikuwa anasemaje, mi sikusikia!

No comments: