Monday, May 12, 2008

MIRUKO AVITA JIKO

Blogger Reginald Somon Miruko akiwa na mkewe Winnie mara baada ya kufunga ndoa jumamosi.
Mzee Simon Miruko (kikwao huitwa Tasimoni) akimkabidhi zana na vita kijan awake baada ya kuwa mwanamume kwelikweli! Watu waliogopa asije siku akazitumia kama Mungiki!
Mzee wa Sumo akimpongeza Reginald katika sherehe ya harusi iliyofanyika Landmark Hotel.

Reginald na mkewe wakiwa na wanakamati walifanikisha sherehe ya harusi yao. Mzee anaendelea kula fungate mafichoni!

8 comments:

Anonymous said...

woow wamependeza sana,wish u all the happiness in the world
MS BENNETT

Anonymous said...

Mzee wa sumo mbona una furaha sana!!! teh teh

Anonymous said...

hongera sana dada winnie wilfred nimefurahi mno nilivyoona hizi picha japo sikuudhuria hii harusi
nimekumbuka mbaaaali sana enzi za WAJADI- JITEGEMEE V&VI HKL!! safi sana
ur x friend AGNES

Anonymous said...

mwanamke domo halifungi mhhhhhhhhhhh

Mzee wa Sumo said...

Jamani mbona mnashangaa mimi kufurahi hii ndoa? Mimi ndio nilikuwa Mwenyekiti wa kamati na jamaa ndiye aliyenifundisha masuala ya Blog!

Mzee wa Sumo said...

Jamani mbona mnashangaa mimi kufurahi hii ndoa? Mimi ndio nilikuwa Mwenyekiti wa kamati na jamaa ndiye aliyenifundisha masuala ya Blog!

Simon Kitururu said...

Hongera zenu Simon na Winnie!

Anonymous said...

Hongera Simon Kwa kumpata kimwana mzuri,Pia nakupa hongera kwa uvumilivu maana siku hizi ndoa nyingi zinazofumga lazima mwanamke awe ameshiba (Mbami).Hongera kwa hilo.