Blogger Reginald Somon Miruko akiwa na mkewe Winnie mara baada ya kufunga ndoa jumamosi. Mzee Simon Miruko (kikwao huitwa Tasimoni) akimkabidhi zana na vita kijan awake baada ya kuwa mwanamume kwelikweli! Watu waliogopa asije siku akazitumia kama Mungiki! Mzee wa Sumo akimpongeza Reginald katika sherehe ya harusi iliyofanyika Landmark Hotel. Reginald na mkewe wakiwa na wanakamati walifanikisha sherehe ya harusi yao. Mzee anaendelea kula fungate mafichoni!
8 comments:
Anonymous
said...
woow wamependeza sana,wish u all the happiness in the world MS BENNETT
hongera sana dada winnie wilfred nimefurahi mno nilivyoona hizi picha japo sikuudhuria hii harusi nimekumbuka mbaaaali sana enzi za WAJADI- JITEGEMEE V&VI HKL!! safi sana ur x friend AGNES
Hongera Simon Kwa kumpata kimwana mzuri,Pia nakupa hongera kwa uvumilivu maana siku hizi ndoa nyingi zinazofumga lazima mwanamke awe ameshiba (Mbami).Hongera kwa hilo.
8 comments:
woow wamependeza sana,wish u all the happiness in the world
MS BENNETT
Mzee wa sumo mbona una furaha sana!!! teh teh
hongera sana dada winnie wilfred nimefurahi mno nilivyoona hizi picha japo sikuudhuria hii harusi
nimekumbuka mbaaaali sana enzi za WAJADI- JITEGEMEE V&VI HKL!! safi sana
ur x friend AGNES
mwanamke domo halifungi mhhhhhhhhhhh
Jamani mbona mnashangaa mimi kufurahi hii ndoa? Mimi ndio nilikuwa Mwenyekiti wa kamati na jamaa ndiye aliyenifundisha masuala ya Blog!
Jamani mbona mnashangaa mimi kufurahi hii ndoa? Mimi ndio nilikuwa Mwenyekiti wa kamati na jamaa ndiye aliyenifundisha masuala ya Blog!
Hongera zenu Simon na Winnie!
Hongera Simon Kwa kumpata kimwana mzuri,Pia nakupa hongera kwa uvumilivu maana siku hizi ndoa nyingi zinazofumga lazima mwanamke awe ameshiba (Mbami).Hongera kwa hilo.
Post a Comment