MAMBO YA ATCL
Dege jipya la ATC, Airbus A 320 likiwa uwanja wa ndege wa Dar es Salaam jana. Jamani ushindani huu sasa hivi tutapata Airbus A380 ngoja tu Community Air nao wajibu mtakimbia!
Mataka akipongezwa ana Naibu waziri wa Miundombinu, Makongoro Mahanga ndani ya dege hhilo, Hapa ilikuw aawe mzee wa Miundombinu . Ndio alikuwa bosi wa Mahanga! Sema basi tu waingereza wameleta sooo!
4 comments:
haiya boss. lakini aliyekuwa boss wa Mahanga andelipokea ndege hiyo angesema: NA NAKUU....' hongera sana. rakini hivi vijindege vya kisasa ni vidogo kweri. unajua nina nia ya kuagiza ndege yangu iri iwe mfano wa jet za kisasa...rakini haizuru....

thats crap compared to what kenyans have! tanzanianz lets not be excited over small things and u know kenyans own this airline too
mzee wa sumo tunataka namna hiyo, sio kuweka picha moja unaishia kasulu week nzima, kamera unayo bomba uzembe unakujaa, lakini mbona walisema hiyo ndege haina seat, kwamba zilichanika wakati rais wa zamani wa liberia akiitumia kusafirishia magogo?? pia walisema business class kuna kunguni wa kumwaga, pia mende chooni, hebu jaribu kuchunguza uone kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia, pia tuletee picha ya ile ndege ya rais iliyo juu ya mawe sasa, ile ambayo ilinunuliwa pamoja na rada, mh, mmoja akasema hapa lazima wabongo mle hata nyasi lakini hiki kifaa tunanunua tu!!
Post a Comment