Friday, May 30, 2008

MUNGU HULINDA VIUMBE!


Cheki jamaa wanachokonoa mifrereji ya mavi (Ashakum) bil ahata ya gloves, kweli Tanzania watu wengine wanalindwa na Mungu mwenyewe! Kipindupindu kitaisha kweli?

No comments: