Tuesday, May 13, 2008

MZEE MATONYA

Kwa wanaomfahamu ombaomba huyu watakumbuka sifa yake ya kulala chali wakati wa kuomba. Alitimuliwa Dar na Makamba akahamishia maskani Mji lasolo Bahari. Kazi hiyo aliyoifanya kwa muda mrefu imemtajirisha na amesomesha watoto kwani ana ng'ombe wengi. Akiona watu wamekomaa anaamua kusimam an akufuatilia mshiko!

1 comment:

Anonymous said...

Big Up Mzee Matonya!He could be more famous than most of the Politicians around!Huyu hata Ubunge stahili yake akawakilishe na kutetea haki za masikini kupindukia(constituent of beggars),ingawa sasa umri umemtupa mkono!Long Live Mzee Matonya!