Thursday, May 01, 2008

NINGEKUWA FISADI

Ningekuwa nacheza Golf kweny emeli yangu ili nisibuguziwe na mtu!
Nyumbani kungekuwa na ulinzi wa saa 24!
Chooni maji yangekuwa yanayotoka milima ya Imalaya tu kama ningekuwa bongo ningetumia Cool Blue!
Hii ingekuwa toilet paper!
Na bwawa la kuogelea lingekuwa la pafyumu tu tena za bei mbaya!

1 comment:

Anonymous said...

You can get all those just gombea Ubunge halafu upate uwaziri.