SPIKA WA BUNGE
Spika wa bunge akizungumz an awahariri waandamizi na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akizindua utaratibu wa kukutana na waandishi kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Bunge na wabunge.
Mhariri Mtendaji wa mwananchi Communications, Theophil Makunga na Jabir Idrissa wa Mwanahalisi wakiangua kicheko na Spika mara baada ya kumaliza mkutano wake huo wa chai ya asubuhi leo.
No comments:
Post a Comment