Jamaa mfanyabiashara wa mahindi barabarani akiwal;isha njiwa mahindi katika eneo lake la kazi, siku hizi njiwa wamefanya deal na kushinda na jamaa kila siku!
5 comments:
Anonymous
said...
Huyu jamaa kanifurahisha kwa kweli kwa kuamua kushare kidogo alicho nacho pamoja na viumbe wengine wanaohitaji huruma zetu pia. Kwanza jamaa siyo fisadi, pili ana moyo wa upendo kiasi hicho...
Mzee wa Sumo hii picha wapelekee Mafisadi ili nao waweze kujifunza upendo japo kidogo.
Napendekeza hii iwe picha ya mwaka kwenye blog hii.
Huyu anajitengenezea pepo, kwani kufanya hivyo ni sadaka pia. Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinavyotujazia thawabu, tusomeni vitabu vya dini jamani tusisubiri kufanya makubwa.

Jamaa sio fisadi lakini hao kunguru wazanzibar uwa ni mafisadi sana wanakujaga kuiba dar halafu jioni wanarudi zenji
Usije ukakuta huyu jamaa hawa Njiwa ni wake anazunguka nao katika vijiwe vyake mbalimbali vya biashara!Bongo hawana dogo ndugu yangu.
Huyu anajitengenezea pepo, kwani kufanya hivyo ni sadaka pia. Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinavyotujazia thawabu, tusomeni vitabu vya dini jamani tusisubiri kufanya makubwa.
Kwa kumsaidia mdau aliyesema kuhusu kunguru wa zanzibar. kwa ufupi tu, hao si kunguru bali ni njiwa.
Post a Comment