Thursday, May 08, 2008

WACHEZAJI WA STARS NA MAMBO YAO

Baada ya kuinyuka Uganda walivuta mkwanja kwa Serengeti Breweries na mambo yalikuwa kuserebuka tu!
Ivo akajifanya kama hataki vile lakini mgomgo aliusikilizia!
Sasa Kocha msaidizi, Itamal alikuwa si mchezo kapewa kidogo kataka........Bosi wa polisi Rwambow alikuwa anahakikisha sheria inafuatwa!

3 comments:

Anonymous said...

Huyo anaitwa pedeshee JAMAL RWAMBO mtu wa michezo

Anonymous said...

hee jamani ngoma nyengine sio za heshima kucheza mbele za watu na wenye heshima zao aibu

Anonymous said...

Hili ndio tatizo la Bongo, mafanikio kidogo, sherehe kubwa kupita tulichofanikiwa! Hivihivi nakumbuka tuliipeleka Stars Bungeni, ilipotoka huko ikafungwa na kutolewa nje ya michuano. Badala ya kujiandaa kurudiana na Uganda, tuko kwenye pati! Mi naitwa Yangu Macho!