Thursday, May 29, 2008

USALAMA BARABARANI

Wabongo tunashangaza sana sehemu ambayo hairuhusiwi kupaki ndio tunapaki wakikamatwa Ooohh wanapenda rushwa.
Ukweli ni kwamba baada ya kutenda kosa baadae tunaenda nyuma ya gari kuwasomesha kama nilivyowabamba hawa kwenye kioo cha nyuma wakimuimbisha traffic baada yakupata soo!

No comments: