Hiyo haitawasaidia WAARABU kwani MMAREKANI atazidi kuchuma tu toka kwao hasa hayo MAFUTA kama atakavyo kwani hata ili sababu ya kumng'oa SADAAM haikuwa ya msingi bali waowalikuwa wakitaka mafuta at Mr. Sadaam's expense even if to sacrifice his LIFE like what they have fulfilled their INTENTION !!!!!
Kama wamepata hayo mafuta iweje bei ya mafuta inapaa kama inaruka na Air force one? Eeeh niambieni mie sielewi maana hata mzee mzima imebidi aende akabembeleze waarabu wapunguze bei ya mafuta, na uchumi wa dunia nzima umekorogeka ni kweli kama hiyo picha hapo inavyosema, through mafuta they are doing that to him and to the rest of the world.
4 comments:
wanajifurahisha tu, but it wont happen
lool

Post a Comment