Wednesday, May 14, 2008

WENYE NYUMBA

Jamani mambo ya wenye nyumba ni nuksi sasa kutupiana vyombo nje imagine hii family leo watalaza wapi? Mikocheni kuna mambo jamani!

No comments: