Thursday, May 15, 2008

WATZ BELGIUMViongozi wa Jumuia ya watanzania waishio Ubeligiji iliyozinduliwa Mei 10 mwak ahuu kutok akushoto, Antony Funga (katibu msaidizi), Fr.Assenga (m/kiti msaidizi), Calista Ngoya (mweka hazina msaidizi), Diana Kiziga (M/KITI), Mh.Balozi Mlay(Mlezi) na F.M.Chibunda(Mweka hazina)

1 comment:

Anonymous said...

Nawapongeza kwa dhati kwa tukio hilo.Mtumieni vyema Balozi Mlay ni mtu mwema kwa jinsi ninavyomfahamu atawasaidieni sana katika mambo mbalimbali.Msitupane wala msibaguane muwe kitu kimoja ndipo Umoja wenu utakapo wanufaisha nyote katika raha na shida.Sisi Huku Bongo tutakuwa karibu nanyi katika kila mlifanyalo.Nliliiona picha yenu nyingine mlipofanya tamasha la kitamaduni katika uzinduzi wa hiyo Jumuia yenu.Nawapongezeni sana na kila la kheri katika shughuli zenu.Msisahau nyumbani,Cheers!