Wednesday, June 11, 2008

BIASHARA MJINI

Hivi ni kweli kama una biashara ndizi unauza sh100 kama mzungu akitokea umeeuzie sh500?

1 comment:

Anonymous said...

wapo watu wengine wanafanya hivyo, akimuona mgeni tu basi atapandisha bei kwa kuwa mtu huyo haelewi chochote, lakini sio vizuri hata kidogo kwanza tunajidhalilisha, na kibinadamu sio jambo zuri kufanya hivyo, mtu unatakiwa uridhike na unachopata, kwanza ndio kwanza unajitia nuksi katika biashara yako, kwani m'mungu hapendi. utaona umemkomoa kwa kuwa ni mzungu, kumbe umejikomoa mwenyewe. kama wapo watu wenye tabia hiyo wajirekebishe mara moja!!!!
mpenda haki.