Saturday, June 21, 2008

JAMANI JAMANI!!!

Jamaa akishangaa jengo la ghorofa sita lililoanguka leo Dar es Salaam na kuangukia jingine la gorofa tatu, kuna watu wameponea chupuchupu na wengine bado wako ndani sijui kama wako salama! kuna watu wanadai wanawasiliana kwa simu,sijui!!??
Jengo lililoangukiwa lilikuwa na wadosi wengi waliokuwa wanaishi kama jamaa huyu aliyeamua kupanda juu ya kifusi kujaribu kuita waliondani!

No comments: