Yaani baad aya jengo kuanguka walikuja TZR kibao nakuimarisha ulinzi kwa sababu watu walikuwa tayari standby kuchukua kisichochao.
Nakwambai polisi walikuwa kibao lakini watu still walikuwa underground sijui ghorofani, maana nyumba yote ilikuwa chini!
Mchezo wa kuegesha magari karibu na nyumba mbovu cheki kilichotokea, traffic alikuwa napima kama hapo barabarani!
No comments:
Post a Comment