Saturday, June 14, 2008

KIPIMAJOTO

Jamani naomba kuweka wazi matokeo ya kipimajoto kilichokuwapo wiki iliyopita kulikuwa na swali Baada ya maximo kuifua Stars kun auwezekano wa kuwachapa cameroon?
Majibu:
Ndio watu 12 =25%
Hapana watu 30=63%
Droo watu 3= 6%
Sijui watu 10= 10%
Tujitahidi watu wengi zaidi kushiriki kinachokuja, kitaanza jumatatu!

No comments: