Mabinti wanaotarajiwa kuchuana shindano la Miss Tanga 2008 litakalofanyika jumamosi (kesho)h 7/6/2008 Ukumbi wa Mkwakwani Stadium ambapo kiingilio kwa wakubwa ni Tsh 5,000 na V.I.P Tsh 15,000. Dollywood Tanzania ni wadhamini wakubwa wa shindano hili litakalochangamshwa na Bendi Mwanana Kabisa ya Wana Akudo Impact.
No comments:
Post a Comment