Sasa jina la Chenge limewekwa wazi kuwa ndiye aliyemwaga unga bungeni, yeye kakanusha na katishia kumshtaki spika. Hata hivyo Mkemia Mkuu wa serikali amechukua mavumbi yale kupima ilikuwa ni kemikali ama ndumba tunasubiri. Hapa Bwa Chenge alikuwa anasalimiana na rafikize bungeni jana. Aliyempa mkono ni Karamagi na mwingine ni Mwansheria Mkuu wa Serikali Mwanyika.
No comments:
Post a Comment