Jamaa akiwa amembeba mtuhumiwa mwenzake katika mahakama ya Temeke baada yakumaliza kusomewa mashtaka ya wizi. Inaelezwa kuwa siku ya tukio aliyembeba mwezake alikimbia na kumwacha mwenzake akigombewa na wananchi na kupata kichapo cha kutosha mpaka kulazwa hospitali. Baadae mwenzake alikamatwa na kuletwa mahakamani basi kazi yake ikawa kumbeba mpaka lock up, sijui jela huko inakuwaje? maana hawakupata dhamana!
No comments:
Post a Comment