Msaada!!!!!
Jamani kuhusu hali ya Mufti Sheikh Shaaban Simba imekuwa mgogoro, watu wanasema wanachotaka kuna watu wanadai kakatwa mguu, wengine wanasema ameng'olewa figo, wengine wanadai yuko fiti, bakwata wanasema hawana taarifa lakini watu wanachanganyikiwa! naomba kama kuna mdau India atujulishe hali ya mzee wetu huyu wa kiroho. Inasemekana yuko Madras sijui hospitali gani lakini pia inaweza kuwa Appolo. Please tunaomba taarifa jamani!
No comments:
Post a Comment