Mdau mwingine kaja na hii!!
Mke na mume walisikizana wakitaka ngono watatumia lugha ya picha(code) " kupiga simu" ili watoto wasielewe.
Basi siku moja walikua wameteta hawasemezani.
Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!"
Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!"
Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje"
Mama akamtuma mtoto: " Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafunguasimu ya jamii!!!"
2 comments:
Hapo ni kapa kapa tafsiri jamani
Hee hawa wanandoa vipi? Lugha ya picha ya nini wakati matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno?
Post a Comment