Thursday, June 19, 2008

VIMBWANGA

Kuna mdau eti laleta hii, jamani kutania viongozi...
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo:

* Benjamin Mkapa Institute of Political Entrepreneurship and Openness
* David Balali School of Central Banking and Foreign Debt Management
* Andrew Chenge College of Applied Contractual Law
* Ali Hassan Mwinyi University of Inflation Control
* Karamagi Institute of Mining Licensing and Administration of Mining Contracts
* Zakia Meghji college of Tourism and Protection of Public Funds and Natural Resources
* Ditopile Mzuzuri School of Conveyance and Welfare of Public Drivers
* Mwalimu Nyerere University College of Privatization
* Mkono Intitute of Legal Fraud Prevention
* Lowassa School of Prevention of Fake Companies

2 comments:

Anonymous said...

Nyingine hiiiiiiiiii hapa:
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&


Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!"

Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!"

Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje"
Mama akamtuma mtoto: " Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafungua simu ya jamii!!!"

***********************************

Anonymous said...

samahani nimetuma ndivyo sivyo
''''''''''''''''''''''''''''''
Mke na mume walisikizana wakitaka ngono watatumia lugha ya picha
(code) " kupiga simu" ili watoto wasielewe.

Basi siku moja walikua wameteta hawasemezani.

Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!"

Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!"

Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje"
Mama akamtuma mtoto: " Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafungua
simu ya jamii!!!"