Friday, July 04, 2008

CHARLIE CHAMPLIN IN DAR


Maonyesho ya sabasaba yameanza na vituko ni vingi kama huyu Charlie Champlin ambaye anafanya mambo katika viwanja vya Mwalimu Nyerere sema weupe wake umezidi tu!

2 comments:

Anonymous said...

Duh! Huwezi amini, yaani kweli tunamalizika, mpaka uwanja wa sabasaba ni vumbi! Poa tuu mnapotaka kwenda twendeni, lakini nchi inatokomea kizani.

Anonymous said...

it's Charlie Chaplin sir; not Champlin