Friday, July 04, 2008

KIBAKA

Yaani kibaka ni kibaka tu! jamaa huyu alifikishwa mahakama ya wilaya ya Tameke kwa kosa la kumchapa mtu panga hakuwa na hofu mpak aanasomewa mashtaka na kurejeshwa rumande alikuwa anajiona shujaa. Imagine ukutane nae mtu kama huyu halafu hana senti mfukoni!

2 comments:

Anonymous said...

Ukiwa hauna kitu cha kupoteza anything goes.. na kama mbaya wacha iwe mbaya maanake watu washapagawa long time.....

Anonymous said...

Bangi tu hizo kaka unafikiri nini tena hicho....

Yeye anafrahia na kujionamshindi kupiga wenziwe mapanga..ndo ushindi wake,ila maisha yako pale pale,maumivu bado atayapata...