Friday, July 11, 2008

MICHUANO YA RIADHA TZ

Kumbe bongo kuna vipaji vya kuttosha jamani yaani watu wanafukuza upepo na michezo mingine ya riadh asi mchezo, JK angejua kuwa si football pekee angewekeza na huku. Cheki dada huyu alivyofiti katika kurusha tufe.
Hapa Said Thomas wa Arusha akirusha mkuki jamaa ni mmoja wa wakali ma mchezo huo nchini.
Sasa wanawake mita 100m ndio si mchezo cheki wanavyofanya mambo tofauti ni uwanja tu lakini wakipata zulia sijui tatan wanawez akufanya makubwa sana.
Walioshiriki mita 5000wakifanya warm up kabla ya mpambano.

Wanaume mita 5000 ndio usiseme walikuwa wanawatoka wenzao kama mchezo tu.

No comments: