Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Taifa ya Bakwata Sheik Khamis Mataka akimzumza katika mkutano na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kupinga uwamuzi wa Sheik Mkuu wa Bakwata wa kuwasimamisha uongozi bila ya kufuata taratibu.
Anasema sasa mali za baraza hilo zisimamiwe na RITA!
No comments:
Post a Comment