Thursday, August 07, 2008

MABOGA

Jamani zamani watu walifikiri kuwa wamasai hawalimi mazao ya chakula lakini kwa sasa kam ailivyo pichani mama huyu ameweza kulima na kutoa maboga makubwa kwelikweli hili linafaa familia ya watu 12 kunywea chai!

No comments: