Thursday, August 07, 2008

WAMASAI JAMANI

Yaani walinzi wa zamani walikuwa wamakonde siku hizi wamekuwa wamasai, sasa shughuli ni kwamba kila siku utakuta wanafikishwa mahakamani kwa kosa la wizi kwenye malindo yao. Sijui wanaiba kweli ama wanapigwa bao?

No comments: