Thursday, August 07, 2008

DEFAO IN DARMwanamuzi wa Congo, Jeneral Defao amewasiri nchini kwa maonyesho kadhaa katika mikoa ya Morogoro (kesho) Dodoma (keshokutwa) na baadae mikoa ya Mbeya na Iringa. Hapa alikuwa kiwasiri katika uwanja wa ndege wa Dar es salaam jana jioni. Wakazi wa huko na jirani kaeni chonjo!

3 comments:

Anonymous said...

Hilo koti na joto lote la Dar si ata-sufocate? au ndo upredejee!

Anonymous said...

huyu jamaa bado yupo!? Duh, sijamsikia siku nyingi. Nakumbuka the last time he was in Dar promota aliyemleta akamtelekeza alipata shida sana

Anonymous said...

Jamaa bado yupo! ni juzi juzi tu katoka jela kumalizia kifungo chake
baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya