Wednesday, August 06, 2008

WANAFUNZI WAPETA

Jamani mambo yanabadilika baada ya makubaliano ya watoto kulipa mia na kukalia kiti sasa makonda wameanza kuwasamehe nao wasafiri kwa raha kidogo sijui itadumu?

No comments: