Wednesday, August 06, 2008

CAPT MAZULA AZIKWA

Waendesha ndege wakiwa wamebeba mwili wa Captein Mazula jana maeneo ya kanisani kabla ya mazishi.
Wasifu wa marehemu ukisomwa kabal ya kuelekea makaburini.
Wageni mkashuhuri waliohudhuria msiba.
Ndugu jamaa na marafiki walikuwepo pia kumsindikiza mwendesha ndege wetu!

Aliagwa kwa heshima zote zinazostahili kwa sisi watanganyika!

No comments: