Monday, August 11, 2008

MTAJI WA MASKINI....


Jamani umaskini huu Tanzania sijui inakuwaje kwa watu kama hawa ambao wanauza vitu kwa kutembeza? Bei ya karibu kila kitu imepanda na kuwa maradufu! Kwa mtaji kama huu kweli mama anaweza kutoka?

1 comment:

Anonymous said...

Duuuuhh! Mzee hizi zimenikumbusha zama hizo (1992) Bihawana secondary. Acha kabisa zilikuwa tamu!!