Tuesday, August 12, 2008

AJALI

Bongo nadhani inapatiwa sana ikiwekewa round about kuliko taa na kama mishumaa ingeweza kuwekwa barabarani ingekuwa heri! Haijawahi kiupita wiki bila mlingoti mmoja wa barabarani kugongwa!

No comments: