Tuesday, August 26, 2008

MTZ PATUPU

Mkimbiaji wa Tanzania Samweli Mwera akikimbiza Upepo mjini Beijing nchini China wakati wa Olimpiki. Pamoja na viongozi wa TOC na AT kuvutana na baadae TOC kung'ang'ania wavae Puma badala ya Li-Ning tulitoka patupu. Sasa tuwekeze kwenye mbio fupi nadhani hatuwawezi wakenya na Waethiopia.

No comments: