Tuesday, August 05, 2008

Mwenyekiti wa Chama cha kuweka na kukopa cha Mwananchi Communications, Theophil Makunga mfano wa hundi ya Sh500milioni ikiwa ni mkopo kwa chama hicho kwa ajili ya kukopesha wanachama wake katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. jamani wanachama wanatisha saa hizi!

No comments: