Tuesday, August 05, 2008

WIKI YA KUNYONYESHA

Mama akimnyonyesha mtoto wake aliyejifungua leo katika Hospitali ya Mwananyamala. Wiki hii ni wiki ya kuwakumbusha wanwake wazazi kunyonyesha maziwa ya mama watoto wachanga sio kuwapa malactogen na Nido eti maziwa yatalala. Kama yakilala ni maumbile yako mwenyewe! Lakini kuna watu wamenyonyesha na bado saa sita!

No comments: