Tuesday, August 05, 2008

KUNRADHI

Samahani wadau nimelazimika kuanza kulabel picha zangu kwani zimeniletea matatizo kazini baadhi ya watu wa magazeti wamekuwa wakiiba na kuweka katika magazeti yao na hivyo kuhatarisha ajira yangu naomba tuvumiliane kwa hilo kama kweli mnahitaji picha na sio wizi!
Kwa Upendo na amani, Mpoki

1 comment:

Anonymous said...

look hre Mpoki kwa maoni yangu ninashangaa kwanza kwa nini na ulikuwa wapi siku zoote kufanya hivyo? water mark! big time!
Tanzania ni nchi tuliyozoea kujiharamia kazi za wasanii na watu wengine kazi binafsi watanzania hatuna taratibu za kisheria na hata zikiwapo hazizingatiwi both na waserikali na hata wananchi wenyewe
watanzania tunatabia ya kuona kazi za creativity za individuals ni mzaha na kwa wakati wowote ule mtu akitaka kazi yako pasi na malipo ya labour ya kazi ile basi wataiharamia kazi yako tena ukichunguza utaona kwamba wengi wamehsaona ni haki kujitwalia pasi na compensation sahihi ya kazi za watu mfano upigaji picha,uchoraji mziki videos,nk
Mpoki,listen up! DO YA THANG BRO!
LINDA KAZI ZAKO AND IF I 'VE TO SAY ,YOUR PHOTOGRAPHIC WORK IS NOTHING BUT PROFOUNDLY GREAT
Gibbons Mlowe
Edmonton.Ca