Friday, August 01, 2008

TAABU YA USAFIRI

Jamani watoto hawa wanapata shida sana ya usafiri waacheni waandamane, sidhani hata kam anauli ikiwa nzima watakuwa wasnachukuliwa makonda wanawaacha mpaka wanavizia lifti za Malori. Maaskari wanapanda bure mabasi kibao yamenunuliwa kuwasafirisha. Wanafunzi wanalipa walau kidogo lakini kupanda hata daladala hawatakiwi magari ya jeshi yanapita matupu vituoni hayabebi hata mwanafunzi mmoja! Kwanini askari nao wasilipe tu? Its too much kwa watoto!!

No comments: