Friday, August 01, 2008

WANAFUNZI WAWASHA MOTO DAR

Wanafunzi wakiandamana Dar Leo kupinga ongezeko la nauli.
Waliziba hata barabara kupinga ongezeko hilo na waliimba nyimbo za kimapambano kuonyesha kilio chao.
Hawakuogopa mabomu wal abunduki walikuwa ngangali kinoma.
Walibeba mambango yenye ujumbe wa kutisha!
Baadae walijua kuwa vyombo vya dola vina nguvu wakakwepa yasitokee ya Soweto!

No comments: