Saturday, August 23, 2008

TABATA DAMPO

Zamanik jamaa walipohamishwa kutoka Kidongo Chekundu na maeneo mengine ya gerezani walilalamika kupelekwa dampo la Tabata. eneo hilo likaitwa la wafanyabiashara wadogo wadogo wa magereji na wauza vyuma! Sasa licheki.
Haka ni kagereji ka mfanyabiashara wa gereji ndogo na kajiofisi ka mafundi! watu tunalalamika sasa kumekuwa bomba huwezi kuamini wamejenga juu ya uchafu!

1 comment:

Anonymous said...

Hatari sana kujenga juu ya uchafu. kuna toxic waste, sumu, inayakuja na uchafu, takataka na iko disolved kwenye ardhi.Watu wanaofanya kazi hapo, wakianza kuugua magonjwa ya ajabu ajabu nipo tutakapo jifunza.... Playing with peoples lives??? But then who cares....???