Monday, August 18, 2008

PORINI HATARI

Jamani Simba anakula tairi ya gari!
Kala ya nyuma!
Mwingine kala ya mbele!
Wakagomea mpaka spare tyre!
Wakaacha matyre yote yakiwa na hali hii na watu walikuwa porini itakuwa vipi?

10 comments:

Anonymous said...

ILIKUWAJE WAKAENDA NA GARI JEKUNDU MBUGANI?
GARI LA KIJANI NDIYO SALAMA

Nalitolela, P. S. said...

duh, jamaa waliondokaje sasa?

Anonymous said...

fIX MZEE WA SUMO JAMAA WALIPATA PACHA HALAFU WAKACHOMEKEWA NA WASANII WA GRAFIKI JAMAA HAWANA HATA MASHAKA WEWE UNAWEZA KUWA KATIKA MAZINGIRA HAYO HALAFU USIWE NA SHAKA. HALAFU SI UNAONA JINSI SIMBA ALIVYOKUTANISHWA NA TAIRI.KWANZA HATA PACHA HAIKUWAPO IMETENGENEZWA NA JAMAA WA GRAFIKI

John Mwaipopo said...

Picha za kuumba hizi. lakini zimetuliapo.

Anonymous said...

Thanks God sio TZ.

Anonymous said...

hizi picha za kuumba,ila hata kama ingekua kweli hakuna shaka mana huyu aliechukua picha alichukua kutoka wapi? jibu ni kua kwenye gari nyingine,soo hakuna noma

Anonymous said...

Hakuna Graphics hapa
Hizi ni picha Original

Anselm said...

Iwe graphic au real,the pics interest me enough.

Anonymous said...

INATISHA KAMA INGEKUWA NI MIMI DU SIJUI INGEKUWAJE KWANI NAFIKIRI SIJUI NINGEZIMIA!
LAKINI ISINGEKUWA DAWA KWANI BADO SIMBA WANGEKUWAPO TU. NINAOMBA NIJULISHE ILIKUWAJE BAADA YA HAPO KWANI NI WENGI WANATAKA KUFAHAMU JINSI JAMAA ALIVYO SEVU.

Anonymous said...

EHHEE NILISAHAU! BORA ABIRIA WALIKUWA NI WAZUNGU, KWA SABABU WANGEKUWA NI WABONGO WANGESEMA JAMAA HAWAKUJIPANGA NDIO MAANA WALIKWAMA MBUGANI.

SASA HAWA JAMAA WALIPATA MASWAIBU GANA HADI WAKAKWAMA MBUGANI? HAPO NDIO PENYE UTATA!NAOMBA TUJUE JE WALIKUWA WATALIII AU WASAFIRI KAMA SISI TUNAVYO KATIZA KATIKA MBUGA. MFANO UNAPOKWENDA MBEYA LAZIMA UNAPITIA MBUGA YA MIKUMI.