Saturday, August 23, 2008

TANZAINDIA

Wasanii wa kihindi wakifanya mambo wakati wa sherehe za uhuru wa India jijini Dar!
Wabongo nao wakajibu kwa nyoka!
wahindi wakaleta Kuch kuch Hootaheee! Wabongo wakajibu kwa Sarakasi!

No comments: