Saturday, August 23, 2008

MZUNGU NA KITAFUNWA


Kumbe watasha nao wanamaindi kula madude ya bush wakati wa chai?

2 comments:

Anonymous said...

Huyu sio mtasha-Ongea nae Kinyakyusa au Kimaasai kama hajakutoa nje. Anaitwa Kinsley Mollel.

Anonymous said...

Haha huyu anaitwa Erwin Kinsey na kweli ni mmassai wa kuasili.. (adoption). Anaupenda u Tanzania kuliko ndugu zangu wengi wa kanda ya Kasikazini.