Saturday, August 23, 2008

TANZIA MWANDOBO


Mpendwa wetu CHARLES MWANDOBO. Mkurugenzi mkuu wa Dunia Inc Promotions amefariki ghafla jana asubuhi nyumbani kwake Boko Basihaya taarifa hizi za kifo chake zimepatikana jana mchana kwa masikitiko baada ya kutokuwa mgonjwa taarifa zinasema alijisikia vibaya muda mfupi kabla hajafariki. Maandalizi ya mazishi yanafanyika nyumbani kwake Boko Basihaya. Na anatarajiwa kuagwa kesho asubuhi Kawe Living Water Center tayari kusafiriswa kwenda Mbeya Iyunga kwa mazishi keshokutwa.

1 comment:

Anonymous said...

rest in peace bro richard you were a truly Tanzania fighter i will never forget u