Saturday, September 13, 2008

ATHUMANI MUHIMBILI

Mdau Athumani Hamisi ambaye pia ni Mpigapicha kiongozi wa gazeti la Habari Leo akiwa Hospitali ya Muhimbili alikolazwa baada ya ajali aliyoipata maeneo ya kibiti jana.
Mwandishi wa Mwananchi, Boniface Meena, akimjulia hali mshikaji. Inagawa wataalamu wa utabibu wanasema anaendelea vyema lakini kwa jicho la kawaida ndugu yetu anateseka sana!

No comments: