Tuesday, September 16, 2008

PASCAL MAYALLA MITAANI


Baada yakula mzinga kule Dodoma hivi karibuni Pascal Mayalla amerejea tena katika ujasiliamali wake na sasa ametinga jijini baada ya muda mrefu Hospitali. Jana alionekana katikati ya jiji mitaa ya Samora. Pascal anaendelea vyema ingawa mkono mmoja bado umegoma. namnukuu:'Kama nikishinda home kama mgonjwa, kwa sisi tuliojiajiri ntakula nini?' nakubaliana nae na nampa Big Up!

No comments: